K24 TvNEWSVideos

KERO LA BANGI NGARA

Uuzaji wa bangi umekithiri katika  eneo la Ngara, hapa jijijni Nairobi, kiasi cha kuwa biashara kubwa ambayo inahitaji kukodiwa nyumba na kuajiiri  watu  kadhaa kuisokota. Uuzaji huo ukikithiri katika kitongoji duni kinachojulikana kama Kariua, ambako watu wansemekana kunyakua ardhi iliyojengewa barabara na kugeuza kama barabara ya uuzaji wa bangi na changaa.

Show More

Related Articles