English VideosK24 TvNEWSVideos

MAKURUTU BANDIA WA KDF?

Takriban makurutu bandia 90 wamekamatwa katika kambi ya mafunzo ya kijeshi ya Eldoret kwa kuwa na stakabadhi ghushi.

Hii si mara ya kwanza kwa vijana kukamatwa wakiwa na barua ghusji za usajili na kudai kulaghaiwa na watu baada ya kuwalipa fedha ili wapate nafasi hiyokatika kambi ya jeshi.

Show More

Related Articles