SwahiliSwahili Videos

Uteuzi wa kidato cha 1 watatiza wazazi na walimu

Serikali sasa imeshikilia kwamba mfumo wa kuwateua wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza ni lazima ufuatwe.
Waziri wa elimu Amina Mohamed anasema serikali inalenga kuhakikisha wanafunzi wote waliofanya mtihani wa darasa la nane mwaka jana wanajiunga na shule za upili walizochaguliwa.
Haya yanajiri huku wazazi wakiendelea kuzua tetesi zao kuhusiana na mfumo huo mpya ambao umewafaidi na kuwakera wengi wao.

Show More

Related Articles