HabariPilipili FmPilipili FM News

Viongozi Wa Taita Wakinzana Na Tume Ya CRA.

Tume ya ugavi wa raslimali za taifa CRA imetakiwa kuhakikisha kaunti ya TAITA-TAVETA inapata pesa za usawazishaji wa kimaeneo yaani equilisation Fund kama hapo awali.

Mbunge wa Taveta Naomi Shaban anasema pendekezo linalotolewa na tume hiyo kupunguza fedha hizo kwa kaunti hiyo ni kinyume cha katiba.

Amesema Taita- taveta inakabiliwa na changamoto nyingi za kifedha na kwamba wao kama viongozi wa kaunti hiyo watalipinga pendekezo hilo.

Show More

Related Articles