Swahili Videos

Makovu ya Solai : Familia zaendelea kuanza maisha upya

Tarehe 9 Mei mwaka huu kaunti ya Nakuru ilikumbwa na mkasa mbaya zaidi kuwahi kutokea eneo hilo mkasa wa kupasuka kwa bwawa la Solai uliosababisha vifo vya watu 47 huku mashamba, mifugo na nyumba zikisombwa na mamia wakijeruhiwa vibaya.
Kwenye msururu wa Matukio ya Mwaka 2018 hii leo tunaangazia kumbukumbu ya matukio yaliyofuata baada ya mkasa huo kufanyika huku walioadhirika wakifanya kila juhudi kurejesha maisha yao kwa hali ya kawaida.

Show More

Related Articles