HabariPilipili FmPilipili FM News

Naibu Rais William Ruto Afuzu Chuoni Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameshuhudia naibu wake William Ruto akipokea stashahada ya juu kuhusu masuala ya ikolojia, kwenye hafla ya kufuzu kwa mahafali wa chuo kikuu cha Nairobi.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo Rais Kenyatta amewapongeza wote waliofuzu katika Nyanja mbalimbali, na kuwaomba kutumia ujuzi waliopata kulihudumia taifa hili kimaendeleo.

Show More

Related Articles