HabariPilipili FmPilipili FM News

TSC Kufanyiwa Marekebisho Mwaka Ujao Asema Macharia.

 

Afisaa mkuu mtendaji wa tume ya kuajiri walimu TSC Nancy Macharia amesema sera ya tume hiyo itafanyiwa mageuzi kuanzia mwaka ujao ili kuhakikisha mwalimu yeyote anayejihusisha na wizi wa mitihani ya kitaifa anakabiliwa.

Akionge wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya KCSE mwaka huu, Macharia amesema walimu watakaopatikana na hatia hiyo watapokonywa usajili wao kwenye tume hiyo.

Show More

Related Articles