HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wakike Washamiri Kwenye KCSE.

Wanafunzi 315 wamepata alama za A katika matokeo ya mtihani wa KCSE mwaka huu ikilinganishwa na wanafunzi 142 waliopata alama ya A mwaka jana.

AKitangaza matokeo hayo waziri wa elimu Amina Mohammed amesema wanafunzi wa kike wamefanya vyema zaidi mwaka huu.

Wakati huo huo Otieno Irine Juliet kutoka shule ya wasichana ya Pangani Nairobi ametajwa kuwa mwanafunzi bora zaidi katika mtihani wa KCSE mwaka huu.

Show More

Related Articles