HabariPilipili FmPilipili FM News

Naibu Rais William Ruto Apata Uungwaji Mkono Magharibi Mwa Nchi

Jumla ya wabunge 10 kutoka magharibi mwa nchi wametangaza azma yao kumuunga mkono naibu rais William Ruto katika uchaguzi wa mwaka wa 2022.

Viongozi phao wanasema kanda ya magharibi mwa nchi haitaendelea kuunga mkono mrengo wa upinzani, na badala yake wataegemea upande utakaowaletea maendeleo.

Wajumbe hao wakiongozwa na mbunge wa Mumias mashariki Benjamin Washiali  wanasema viongozi wa eneo hilo wameanza kuachana na siasa za kununuliwa na kile amekitaja ahadi za uongo.

Show More

Related Articles