HabariPilipili FmPilipili FM News

Matokeo Ya KCSE Kutangazwa Leo.

Waziri wa elimu Amina Mohamed anatarajiwa kutangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE wakati wote kwanzia sasa.

Waziri Amina anatarajiwa kutangaza matokeo hayo mwendo wa saa nne unusu, baada ya kukutana na rais Uhuru Kenyatta katika ikulu ya rais jijini Nairobi.

Hafla ya  kutangaza matokeo ya KCSE imeratibiwa kuandaliwa katika makao makuu ya baraza la mitihani nchini KNEC Jijini Nairobi.

Show More

Related Articles