Swahili Videos

Maradhi ya ‘Jakadala’ yana dalili za saratani

Kikundi cha wataalamu  wa afya katika kaunti  ya Migori kimetumwa kuchunguza kuwepo kwa ugonjwa hatari  wa zinaa unaoripotiwa kuwauwa watu watano kutoka kaunti hiyo,ugonjwa huo umebandikwa jina Jakadala.
Hata hivyo mkurugenzi wa huduma za afya amesema kuwa sio tishio  la afya kwani  ni  mtu mmoja  ambaye ana dalili ambazo  huenda  zikawa ni za  Saratani ya kiungo cha kiume cha uzazi.

Show More

Related Articles