Swahili Videos

Kibor mwenye umri wa miaka 85 anadai kudhalilishwa

Mwanasiasa mkongwe kutoka county ya Uasin Gishu Jackson Kibor ana kila sababu ya kutabasamu baada ya mahakama ya Eldoret kuidhinisha ombi la kumtaliki mkewe wa tatu.
Kibor alionekana mwenye furaha baada ya maamuzi hayo ya mahakama kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Timothy Simwa kutoka Eldoret.

Show More

Related Articles