HabariK24 TvSwahiliVideos

MWANARIADHA APIGANIA MALI : Lucy Kabuu anazozana na mpenziwe Jeremiah Maina

Lucy Kabuu

Mzozo wa mali ya mamia ya milioni ya pesa baina ya mwanariadha nyota aliyestaafu Lucy Kabuu na mpenziwe umefika kortini baada ya zogo la umiliki kutokota. Kabuu na Jeremiah Maina ambaye pia alikuwa kocha wake wanasemekana kutengana baada ya kujaaliwa mtoto mmoja na sasa maina  anadai nusu ya mali ya kabuu.

 

Show More

Related Articles