HabariMilele FmSwahili

Joho akana madai kwamba usalama umezorota zaidi kaunti yake ya Mombasa

Gavana Hassan Joho wa Mombasa amekana madai kuwa kaunti yake imesheheni visa vya utovu wa usalama. Akizungumza katika mkutano wa usalama Mombasa, Joho amekashfu vyombo vya habari kwa kueneza taarifa potovu kuhusinana na mji huo wa Mombasa. Ameahidi hata hivyo kushirikiana na vyombo vya usalama kudumishazaiid usalama wa kaunti.

Show More

Related Articles