K24 TvNEWSSwahiliVideos

MAKOVU YA NDOA CHUNGU

Jackline Mwende aligonga vichwa vya habari mnamo mwaka wa 2016 baada ya  kukatwa viganja vyake vya mkono, mshukiwa mku akiwa mumewe  Stephen Ngila  kwa kisingizio cha ndoa kuingia doa kwa kukosa kujifungua .

Miaka 2 baadaye, Mwende anasema kuwa sio mara moja yeye hujaribu kuinua kitu kabla ya kugutuka kuwa hana mikono. Isitoshe, Mwende amejaliwa na mtoto wa kiume jambo ambalo anasema ni muujiza mkuu.

Show More

Related Articles