K24 TvNEWSSwahiliVideos

ZIARA YA RAIS NA RAILA NYANZA YAZUA MSISIMKO

Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta eneo kuu la Nyanza siku ya Alhamisi na Ijumaa, imeibua hisia mseto huku yeye pamoja na kinara wa NASA, Raila Odinga, wakisema kuwa wanapanga kurejea eneo hilo tena na vile vile kuzuru maeneo mengine kwa pamoja ili kuhakikisha taifa la Kenya linasalia kuwa moja.

Wengi wanajiuliza iwapo mwamkuano wa viongozi hao wawili una umuhimu wowote kwenye siasa za urithi au la, na iwapo msukumo wao ni wa kuimarisha umoja wa kitaifa, vita dhidi ya ufisadi na mwongozo wa maendeleo tu.

Show More

Related Articles