K24 TvNEWSSwahiliVideos

HALI YA ATI ATI NGOBENI NAROK

Kaunti ya Narok imetoa amri ya kutotoka nje maeneo ya Ngobeni, Narok kusini kufuatia visa vya mashambulizi yaliyosababisha mtu mmoja kuuawa, 15  kujeruhiwa vibaya na nyumba kadhaa kuteketezwa.

Mashambulizi hayo baina ya jamii mbili yalianza usiku wa Ijumaa na kurejelewa  Jumamosi usiku, mashambulizi hayo yanadaiwa kuchochewa na visa vya wizi wa mifugo.

Show More

Related Articles