K24 TvNEWSSwahiliVideos

MARAGA AITETEA MAHAKAMA

Jaji mkuu, David Maraga amepinga madai kuwa mahakama imekiwa kizingiti kikuu dhidi ya kujikokota kwa kesi nyingi za ufisadi.

Maraga badale yake anasema ni jukumu la mahakama kuskiza pande zote mbili ikiwemo uzito wa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka dhidi ya mshukiwa kabla ya kutoa hukumu.

Aidha, Maraga amekiri kuwepo kwa ushirikiano wa kutosha baina ya mahakama na afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kushughulikia kesi hizo ikilinganishwa na hapo awali.

Show More

Related Articles