Swahili Videos

Isabella Kituri ajitosa katika kazi ya mlezi, Kibera

Shilingi 400 kwa baadhi ya wakenya huenda zisionekana kuwa na maana kutosheleza malezi ya siku kwa mtu mmoja.
Hata hivyo, amini usiamini hela hizi zinatumika kutosheleza mahitaji ya watoto 18 katika makao ya watoto kwenye kitongoji duni cha Kibera.
Mwanahabari mwenza Isabella Kituri alishuhudia haya yote kwa kujitosa katika kazi ya mlezi, na anatuandalia makala ya Jasho Langu wiki hii.

Show More

Related Articles