Swahili Videos

Kenyatta na Raila watunukiwa shahada, Bondo 

Rais Uhuru Kenyatta ametamatisha ziara yake ya siku mbili eneo kuu la
Nyanza kwa kuhudhuria sherehe ya kufuzu kwa mahafala ya chuo kikuu cha
Jaramogi Oginga Odinga na kutunukiwa shahada ya uzamifu pamoja na kinara wa upinzani Raila Odinga.

Mapema leo pia alikuwa mgeni wa odinga nyumbani
kwake opoda farm, kabla ya kuzuru alikozikwa babake Odinga Mzee Jaramogi Oginga odinga eneo la Kang’o, Bondo.

Show More

Related Articles