Swahili Videos

Aliyekuwa afisa mkuu wa polisi apatikana na hatia ya mauaji

Aliyekuwa afisa mkuu wa kituo cha polisi cha Ruaraka Nahashon Mutua amepatikana na hatia ya mauaji ya Martin Koome, ikiwa ni kisa cha kwanza cha afisa wa cheo cha ocs kuhukumiwa .
Katika uamuzi wake jaji stella mutuku alisema kuwa Mutua alitumia mamlaka yake vibaya kama OCS kwa kumpiga kichapo cha kinyama Martin Koome alipokuwa amezuiliwa usiku wa tarehe 19 Disemba mwaka 2013.

Show More

Related Articles