Swahili Videos

Mcheza filamu Jamal Nasoor auawa

Aliyekuwa naibu gavana wa Kilifi Kenneth Kamto aliuawa hii leo asubuhi na genge la watu waliokuwa wamejihami ka bunduki.
Kamto aliuawa mwendo wa saa kumi asubuhi alipokuwa akiingia nyumbani kwake mtaani Nyali.
Wakati uo huo mwigizaji Jamal Gadafi wa kipindi maarufu cha Vioja Mahakamani ameuawa  kwa kudungwa kisu na mpenzi wake mapema leo asubuhi eneo la Mlolongo kaunti ya Machakos.

Show More

Related Articles