HabariSwahiliSwahili Videos

Ukoko wa Jamii : Tamaduni za matanga kwa jamii ya Waluo

Jamii ya waluo ni ya tatu nchini  kiidadi huku jamii hii pia ikiwa na mila ,desturi na tamaduni ambazo wamekuwa wakizifuata tangu jadi.
Katika makala maalum ya Ukoko wa Jamii, mwanahabari wetu  Lenox Sengre anatuarifu jinsi jamii hiyo inavyofuatilia mila zao  wakati jamaa zao wanapoaga  dunia hasa, mzee mwenye boma.

Show More

Related Articles