HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki katika timbo la mchanga mpakani mwa kaunti ya Tharaka Nithi na Meru

Watu watatu wamefariki huku mwingine mmoja akiondolewa kutoka kwenye timbo la mchanga eneo la Mutonga mpakani mwa kaunti za Tharaka Nithi na Meru. Inadaiwa kuwa timbo hilo limeporomoka kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha. OCPD wa eneo hilo John Cheruiyot ametoa onyo kwa wanaochimba timbo hizi kuwa makini msimu huu wa mvua

Show More

Related Articles