HabariMilele FmSwahili

Seneta Cherargei asema ataandaa mswada wa kutoa mwelekeo wa jinsi ya kupambana na ufisadi

Seneta wa nandi Samson Cherargei, ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya sheria bunge la seneti anasema huenda akapendekeza sheria kutoa mwelekeo wa kupigana na ufisadi.Akizungumza na wanahabari, Cherargei anasitiza zoezi hilo limefanywa kuwa la kisiasa likilenga jamii fulani. Ameshtumu hasa kukamatwa baaadhi ya maafisa wa serikali anaodai wanatuhumiwa bila ushahidi wowote.

Ameshtumu afisi ya mkurugenzi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma na tume ya ufisadi kwa kufeli katika vita hivyo, akiognea kwamba vinawalenga wasiokuwa na hatia.S

Show More

Related Articles