HabariMilele FmSwahili

Gavana wa Nyeri akana kuwepo mgogoro baina yake na naibu wake

Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga amekana kuwepo mgogoro wowote wa utendakazi baina yake na naibu wake Carol Karugu. Akizungumza na wana habari afisini mwake, gavana huyo anasema wanashirikina kikamilifu huku akiwatuhumu wapinzani wao kwa kueneza madai hayo.

Amewaonya dhidi ya kungiza siasa kwenye utendakazi wa kaunti na kwuapa muda wa kuchaa kazi kabla ya kinyanganyiro mwaka wa 2022.

Show More

Related Articles