HabariMilele FmSwahili

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya haki za kibinadamu

Kenya imeungana na ulimwengu kwenye maadhimisho ya siku ya  haki za kibinadamu. Sherehe hizo zinaandaliwa mjini Mombasa ambako wadau tofauti ikiwemo mashirika ya kibinafsi  ya kutetea haki za kibinadamu yanaandaa maandamno ya amani. Miongoni mwa maswala yanyozidi kulalamikiwa ni kukithiri mauji ya kiholela yaayotekelezwa na polisi.

Show More

Related Articles