K24 TvNEWSSwahiliVideos

Waziri Mucheru ataka majibu kutoka Safaricom baada ya M-pesa kuharabika.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Joe Mucheru, ameagiza uchunguzi kuanzishwa mara moja kuhusu mitambo ya mawasiliano ya huduma za M-pesa kukwama na kutatiza operesheni za kutuma pesa kukwama kote nchini.

Kwa upande wake mamlaka ya mawasialiano nchini imeiandikia kampuni ya Safaricom kuhusiana na hitilafu hiyo ikitaka kuelezewa kilichosababisha haswa hitilafu hiyo. Huku haya yakijiri, maelfu ya Wakenya waliadhirika pakubwa wakati huduma za M-pesa zilikwama.

Show More

Related Articles