English VideosK24 TvNEWSVideos

RHUMBA LA KISIASA: Mashindano ya Urais kati ya Gideon Moi na WIlliam Ruto.

Siasa zinazolenga kura ya  mwaka 2022  huenda zikaibua muungano mpya wa kisiasa ambao utayumbisha pakubwa siasa za Kenya, hasa zile za ikulu mwaka huo wa 2022.

Lakini je, urithi wa Rais Uhuru Kenyatta utatokana na msukumo wa familia kuu ya rais mstaafu Daniel Moi au vipi?

Show More

Related Articles