Swahili Videos

Jasho Langu : Mtangazaji wa K24 Ken Wariahe afanya uchuuzi

Wahenga walisema heshima sio utumwa lakini katika maisha ya kila siku,wengi wamekumbana na matukio ambapo wamekosewa au kunyimwa heshima kutokana na kazi wanazofanya.
Kwenye makala mapya ya “Jasho Langu” yatayokuwa yakikujia kila siku ya Ijumaa saa moja,tutakufahamisha umuhimu wa kuheshimu kazi ya mwenzako inayompa riziki licha ya kwamba baadhi huenda wakaidunisha na hata kuonyesha dharau.
Ken Wariahe anatufungulia ukurasa huu mpya wa Jasho Langu.

Show More

Related Articles