HabariK24 TvSwahiliVideos

WASIOTAMBULIKA: Taib Abdurahman ana mradi wa kuwarekebisha waraibu wa mihadarati

WASIOTAMBULIKA

Kero ya mihadarati maeneo ya Pwani inazidi kuwazonga wakubwa kwa wadogo .Utafiti unaonyesha kwamba, licha ya vita dhidi ya dawa za kulevya kushika kasi, kuna vijana kutoka miaka kumi pwani, ambao ni waraibu.

Taib Abdurahman, baada ya kumpoteza rafikiye wa karibu katika shule ya msingi kutokana na athari za mihadarati, aliamua kuanzisha mradi wa kuwasaka na kujaribu kuwarekebisha baadhi ya marafiki zake waliokuwa wameathirika…hivi sasa, ana tabasamu kwani amewaokoa si tu rafikize, bali majirani waliokuwa wamehangaika.

 

Show More

Related Articles