HabariK24 TvSwahiliVideos

UOZO KENYA PIPELINE : Waziri John Munyes akiri udhadhirifu na ufisadi unaizonga kampuni hiyo

UOZO KENYA PIPELINE

Waziri wa  sekta ya petroli nchini John Munyes amehakiki kuwa kuna ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma kwenye shirika la Kenya Pipeline, na kusema kuwa uchunguzi wa kina unaendelea kuhakikisha kuwa washukiwa wanafunguliwa mashtaka.

Kwenye kikao na waandishi wa habari baada ya kukosa kufika mbele ya kamati ya seneti kuhusu kawi, Munyes pia amefichua kuwa uzito uliopo kwenye sekta ya kawi na hasa Kenya Pipeline umepelekea siasa kutoswa kwenye uendeshaji shughuli katika shirika hilo.

 

Show More

Related Articles