HabariK24 TvSwahiliVideos

SOKOMOKO LA MAUAJI,BARINGO : Jamaa aliyewahi kuangaziwa na runinga ya K24 afariki katika hali tata

SOKOMOKO LA MAUAJI,BARINGO

Jamaa mmoja tuliyewahi kumuangazia kwenye makala ya kufa kupona kwa  mtindo wake wa kushika nge kwa mikono yake, na kuwalisha mamba  amefariki mikononi mwa walinda usalama, kaunti ya Baringo.

David Owino anasemekana kutiwa mbaroni na naibu chifu wa eneo la Saimo Soi  na askari mmoja wa akiba , na kufungiwa kwenye kituo cha polisi cha eneo hilo, lakini akafariki kutokana na kile wenyeji wanachodai ni kipigo,

 

Show More

Related Articles