HabariK24 TvSwahiliVideos

RAIS AMTETEA MOODY AWORI: Uhuru asema vijana wamekosa kuwajibikia fedha wanazosimamia

RAIS AMTETEA MOODY AWORI

Rais Uhuru Kenyatta amemtetea aliyekuwa makamu wa rais Moody Awori baada ya uteuzi wake katika bodi  ya vijana na michezo, licha ya umri wake wa miaka 91, akisema amechoshwa na tabia ya viongozi barobaro kupora fedha za umma.

Kufuatia uteuzi huo, baadhi ya wakenya walikashifu uamuzi wa rais Kenyatta hasa kwenye mktandao ya kijamii, wakisema hatilii maanani ajira kwa vijana.

 

Show More

Related Articles