HabariK24 TvSwahiliVideos

KAUNTI YA KUPIGIWA MFANO : Margaret Kenyatta azindua hospitali ya kina mama na watoto Makueni

KAUNTI YA KUPIGIWA MFANO

Ikiwa imesalia  siku nane kabla rais Uhuru Kenyatta kuzindua rasmi mpango wa afya bora kwa wote katika  kaunti nne humu  nchini kaunti ya Makueni tayari imepiga hatua kwa kuzindua rasmi hospitali ya kina mama na watoto.

Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Nancy Onyancha hospitali hiyo itawafaidi wakaazi wa Makueni na kaunti jirani za Machakos,Kitui,Kajiado na Taita Taveta.

 

 

Show More

Related Articles