People Daily

Kazi Mpya Ya Susu Yazuiliwa Na Producer Baada Ya Kushindwa Kulipa.

Susumila Msanii wa kizazi kipya kutoka Mombasa akana madai ya kushindwa kulipia   kazi yake mpya aliyo mshirikisha msanii wa kike  kutoka Bongo kwa jina JOLLIE
Kumekua na tetesi kwamba kazi ya susu imezuiliwa na  producer fulani kutoka Bongo baada ya Susu kishindwa kuigharamikia kauli ambayo susu ameiruka futi sita na kuhoji kwamba  chanzo cha kazi hiyo kutoachiwa  ni kwa sababu yuko katika  harakati za kusaini mkataba wa makubaliano na produducer ambaye hakutaka kumtambulisha.

KABLA KAZI IKAMILIKE LAZMA KUWE NA MAELEWANO.  KULINGANA NA VILE SIKU ZINAZO ENDA MAMBO YANABADILIKA KWA MFANO KANDO NA KUPRODUCE MAPRODUCER SIKU HIZI PIA WANATAKA SHARES KWA ILE KAZI. SIJASHINDWA TUKO KATIKA MAELEWANO.

Susu ameahidi kuachia kibao hicho wakati wowote kutoka sasa akitaja kua mapete yashafanya kazi na  kila kitu kiko tayari.
Show More

Related Articles