HabariMilele FmSwahili

Mwanafunzi wa chuo cha East Africa ajitia kitanzi Bungoma

Huzuni imetanda katika mtaa wa Kona Mbaya Sosio eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma baada ya mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha East African Kamukuywa kupatikani chumbani mwake akiwa amejitia kitanzi. Inaarifiwa marehemu Moffat Kubia alikuwa na deni  la pombe la silingi 1300.

Show More

Related Articles