Swahili Videos

Wabunge wadai wanahabari wanawahadaa wakenya kuhusu mswada

Wabunge sasa wamevilaumu vyombo vya habari kwa kuvitaja kama visivyosema ukweli kuhusiana na mswada wa huduma za bunge, kuashiria kwamba wanataka mishahara minono na marupurupu kuongezwa.
Kinara wa wengi Aden Duale, mwenzake wa wachache John Mbadi na kiranja wa wachache Junet Mohammed wanasema mswada huo haulengi kuongezea wabunge marupurupu bali kuwawezesha kuendeleza utendakazi bora.

Show More

Related Articles