Swahili Videos

Ziara ya ikulu 2022 : Orengo adai huenda kukaibuka muungano mpya kabla ya kura

Siasa za mwaka 2022 zinazotokana na mwamko wa maafikiano kati ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wa chama cha Odm Raila Odinga huenda zikaibua muungano mpya wa kisiasa ambao utayumbisha pakubwa siasa hasa za ikulu mwaka huo wa 2022.
Seneta wa kaunti ya Siaya James Orengo ambaye ni mwanadani mkuu wa Odinga akigusia kuwa kwa sasa kutaibuka muungano ambao utawaleta pamoja wakenya lakini viongozi wenye nia ya kulirejesha taifa nyuma hawatafuzu kuwa kwenye merikebu hiyo.

Show More

Related Articles