Swahili Videos

Mzee Nderi ajipata taabani kuelekea Hospitalini Kenyatta kwa matibabu

Huku wasafiri hapa jijini Nairobi wakiendelea kusaga meno kwa kutembea masafa marefu kwa lazima kuna baadhi ya abiria ambao marufuku ya matatu kuingia jijini imewaathiri pakubwa zaidi.
Kwa mfano, abiria mmoja kutoka kaunti ya Embu, alifika jijini Nairobi kwa matibabu ya uti wa mgongo katika hospitali kuu ya Kenyatta .
Ilikuwa vigumu kwake kutembea kutoka mtaa wa pPngani alikoshukia gari kutoka Embu hadi kituo cha mabasi cha Kencom
Dennis Matara, alikutana na mgonjwa huyo Dennis Matara, na hapa anatueleza masaibu yake.

Show More

Related Articles