Swahili Videos

Gavana aiambia Seneti marufuku ya matatu ni kwa manufaa ya wakazi

Huku wananchi wakilalamikia kutembea masafa marefu jijini Nairobi, mahakama imetupilia mbali ombi la muungano wa matatu la kubatilisha amri ya magari ya umma kuingia jijini.
Wakati huo huo gavana wa Nairobi Mike Sonko ameshikilia msimamo na kusema agizo hilo litaendelea kwani washika dau wote walihusishwa kujaribu kuleta mpangilio jijini.

Show More

Related Articles