K24 TvNEWSSwahiliVideos

SIKU YA UKIMWI: Juhudi za kupambana na janga bado zinaendelea

Taifa la Kenya hii leo lilijiunga na ulimwengu wote katika kuadhimisha  siku ya Ukimwi ulimwenguni,na  aliyekuwa mgombea wadhifa wa wakilishi wa kina mama katika kaunti ya Busia Zilper Bett, amepeana mipira ya kondomu zaidi ya 10, 000 kwa wahudumu wa bodaboda katika kaunti hii akisema wao ni miongoni mwa wale waliomo hatarini kuambukizwa virusi vya Ukimwi.

Huko Kilifi, serikali ya kaunti ilizindua mpango wa kupunguza viwango vya maambuzi ya Ukimwi.

Show More

Related Articles