English VideosK24 TvNEWSVideos

Marais Uhuru Kenyatta na John Magufuli wakizindua kituo cha usalama Namanga

Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake Rais wa jamhuri ya Tanzania John Pombe Magufuli, hii leo walizindua rasmi Kituo cha Usalama mpakani Namanga. Mradi ambao unalenga kuimarisha biashara ya wahudumu rejareja.

Kenyatta na Magufuli aidha waliwaonya maafisa wa usalama mipakani dhidi ya kujihusisha na ufisadi huku wakisisitiza kwamba huo unatishia ruwaza na maendeleo ya muungano ya jumuiya ya afrika mashariki.

Show More

Related Articles