English VideosK24 TvNEWSVideos

DHULUMA ZA KIJINSIA: Wanawake wanavyojikakamua kupambana na hali zao

Wanawake wengi katika Kambi za Wakimbizi wamekuwa waathirika na dhuluma za kijinsia, huku wengi wakikosa usaidizi kutokana na ugumu wa maisha katika kambi hizi.

Aidha walidhulumiwa kutoka nchi zao kabla ya kuamua kutorokea usalama katika kambi za wakimbizi, huku wengine wakidhulumiwa wakiwa safarini kutoroka vita katika nchi zao.

Show More

Related Articles