English VideosK24 TvNEWSVideos

Polisi jijini Mombasa wasisitiza Mama alimuuza mwanawe huko Molo

Polisi jijini Mombasa wamemtia mbaroni mama ambaye mwanawe wa miezi minane alitoweka hivi majuzi katika eneo la Mshomoroni, Kisauni na kisha mtoto huyo kupatikana huko Molo kaunti ya Nakuru.

Polisi sasa wanasisitiza kuwa mtoto huyo alikuwa ameuzwa na mamake katika maeneo hayo.

Show More

Related Articles