HabariPilipili FmPilipili FM News

Polisi Wapewa Miezi Sita Kuyapiga Mnada Magari Yaliyoko Kwenye Vituo Vya Polisi.

Idara ya polisi sasa ina muda wa miezi sita kuyapiga mnada magari yote yaliyoko kwenye vituo mbali mbali vya polisi nchini, na ambayo yamekosa kuchukuliwa na wenyewe licha ya kuondolowa makosa.

Agizo hilo limejiri baada ya waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi kugusia umuhimu ya kunadhifisha vituo vya polisi.

Show More

Related Articles