Swahili Videos

Magari yaliyoegeshwa kwenye vituo vya polisi kuanza kuuzwa

Idara ya polisi ina miezi sita kuyanadi magari yote yaliyo katika vituo tofauti vya polisi humu nchini ambayo yamekosa kuchukuliwa na wenyewe licha ya kuondolewa makosa.
Mwelekeo huu unajiri baada ya waziri wa usalama wa ndani daktari Fred Matiang’i kugusia umuhimu wa kusafisha vituo vya polisi ambavyo vimekuwa vikionekana kama sehemu ya maegesho na jaa la magari ya uhalifu.

Show More

Related Articles