HabariMilele FmSwahili

Moses Dola apewa kifungo cha miaka 10 gerezani kwa mauaji ya mkewe

Mahakama kuu imempa kifungo cha miaka 10 gerezani Moses Dola kwa kosa la kumuua mpenziwe ambaye ni mwanahabari Sarah Wambui Kabiru miaka 7 iliyopita. Akitoa uamuzi huo jaji Roseline Korir anasema licha ya Dola kujutia kosa lake familia yake  Kabiru inataka haki. Sara Wambui Kabiru aliwawa mwaka wa 2011 kwenye nyumba yao mtaani umoja hapa Nairobi. Kabiru alikuwa na mtoto mmoja wa kiume.

Show More

Related Articles