HabariPilipili FmPilipili FM News

Bunge La Kwale Lapitisha Mswada Wa Kuipa Nguvu Serikali Ya Kwale.

Bunge la kaunti ya  kwale  limepitisha  mswada  unaolenga kuipa nguvu na mwelekeo serikali ya kaunti hiyo katika maswala ya utekelezaji wa miradi ya  maendeleo katika mwaka wa kifedha  wa 2019-2020  ,kuona kuwa wenyeji wanafaidi  na miradi hiyo .

Mwenyekiti wa bunge la  kaunti  ya kwale Chirema Kombo   amesema mradi wa ujenzi wa kituo cha saratani  huko msambweni  ,ujenzi wa  kiwanda cha matunda  kubo kusini   , chuo cha mafunzo ya walimu  kinango  na miradi ya uchimbaji wa  mabwawa  ni kati ya miradi inayolengwa  katika bajeti ya mwaka wakifedha wa 2019- 2020 .

Show More

Related Articles