Swahili Videos

Sauti Tajika : Mahanjam ya msanii Ngoni wa Thuita almaarufu ‘Ole Matope’

Ukimuita Ngoni wa Thuita, ni wachache wanamfahamu, ila ukimuita Ole Matope asilimia kubwa ya watazamaji wanamfahamu.
Jamaa ambaye amekuwa akiigiza kama  kama borabora jamii ya kimaasai japo ni wa jamii yawakikuyu.

Show More

Related Articles